Tunakusaidia kuagiza bidhaa kutoka China kwenda Tanzania kwa usalama, uharaka na gharama nafuu. Tunashughulikia mchakato mzima kuanzia kupata supplier mpaka bidhaa kufika mikononi mwako.
Tuma link ya bidhaa kutoka Alibaba, 1688, Taobao, Temu au picha ya bidhaa unayotaka.
Tutakupatia bei kamili ya bidhaa, shipping na makadirio ya muda wa kufika.
Baada ya kukubaliana na gharama, unafanya malipo ili tuanze mchakato wa kuagiza.
Tunafanya mawasiliano na supplier na kuhakikisha bidhaa zinaagizwa kwa usahihi.
Bidhaa husafirishwa kutoka China kwenda Tanzania kwa njia salama.
Ukifika mzigo wako, tunakujulisha na kukukabidhi bidhaa zako.
Tunatanguliza uaminifu na huduma bora kwa kila mteja.
Tunatafuta njia bora za kupunguza gharama za shipping na importation.
Tunawasiliana nawe kila hatua ya safari ya mzigo wako.
Tunasaidia wafanyabiashara wanaotaka kuagiza kwa jumla au rejareja.
Tuma link au picha ya bidhaa unayotaka na tutakusaidia kuileta Tanzania kwa urahisi.
Place Import Order